TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Musikari Kombo

The Typologically Different Question Answering Dataset

Musikari Nazi Kombo  (alizaliwa mnamo 13 Machi 1944 katika wilaya ya Bungoma) ni mwanasiasa kutoka nchi ya Kenya na sasa anahudumu kama Mbunge wa kuteuliwa. Alijiunga na Shule ya Msingi ya Misikhu kwa elimu yake ya msingi, kisha akajiunga na shule ya msingi ya Rakwaro, na hatimaye kuhamia Mumias ambapo yeye alimaliza elimu ya msingi.  Kisha alijiunga Shule ya Upili ya Nyeri High School kwa elimu yake ya sekondari.

Musikari Nazi Kombo alizaliwa mwaka gani?

  • Ground Truth Answers: 194419441944

  • Prediction: